Modo
ambaye pia anafanya muziki na ujasiriamali, Jokate Mwegelo amefunguka
kuwa, awapo chumbani na mpenzi wake huwa anasikia raha kutovaa chochote.
Akizungumzia
maisha yake ya kimapenzi, Jokate alisema haoni aibu kusema akiwa
faragha na mpenzi wake hapendelei kuvaa kitu kwani ni eneo la kujiachia.
“Kwa kweli nikiwa chumbani na mpenzi wangu sipendi kuvaa kitu kabisa,” alisema Jokate kwa kifupi