KUTANA NA MREMBO CHIPUKIZI ANAYE FANANA NA WEMA AU MASOGANGE PICHA ZAKE HIZI HAPA
Anajulikana kwa jina la Caro akiwa ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuo cha biashara CBE mbali ya kusoma pia ni video vixen anayechipukia.
Mrembo huyu amefanya kazi na msanii Jaco Beatz kwenye kwenye video ya single yake mpya “walionuna.”,wataalamu wa mambo wanakuambia huyu video queen huyu amefanana na Madam Wema sepetu lakini ukijaribu kumchunguza zaidi ana nywele kama za Agness Masogange ebu mtizame na wew unaiambie