Home »
UDAKU
»
HII NI NOMA!! NYOKA MKUBWA KATOA PESA KWENYE BANK YA BARCLAYS KWA NJIA YA ATM. SOMA HAPA..

Najua hapa kwetu Tanzania inawezakuwa ngumu kutokea kwa kitu kama hiki lakini lakin kwa wenzetu limetokea mjini Harare nchini Zimbabwe,ambapo nyoka huyo aliingia kwenye ATM machine za benki ya Barclays iliyoko barabara ya Angwa Street mjini harare
Mara baada ya nyoka huyo kuchoka kiasi cha pesa alitoka kwenye ATM machine na kwenda kwenye gari moja aina ya Noah lilokuwa limepaki kandokando ya ATM na baadhi ya watu walilizingira gari ilo ili kupata picha ya ajili ya tukio lije kurushwa kwenye vyombo vya habari nchini humo
Baada ya gari hilo kuondoka polisi walifanikiwa kulifukuza na kumkamata aliyekuwa akiendesha na kumhoji tukio lilotokea lakini jamaa huyo alikana na alisema hajui kinachoendelea na aachiwe ili aende zake nyumbani
Home