MCHEZAJI wa mashindano chini ya miaka 21 wa man city alazimika kutoka nje ya uwanja kwa kashfa ya kubaliwa kwa rangi yake nyeusi
Seko Fofana wa Manchester City Mfaransa mweusi mwenye umri wa miaka 19 aanadai kufanyiwa vitendo hivyo wakati timu yake ikicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Crotia, ambapo mmoja wa wachezaji wa timu hiyo walimbagua kwa misingi ya rangi.
Machester City imesema mchezaji huyo kiungo ndiye aliyelengwa na ubaguzi huo na mchezaji wa Croatia.
Hivi karibuni katika michuano ya kombe la Dunia shirikisho la soka ulimwenguni lilianza kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya mashabiki wa timu ya Mexco ambao wanadaiwa kwua walifanya vitendo vya ubaguzi wa rangi.