HII HATARI.........BANGI YARUHUSIWA NCHINI UJERUMANI!!!

                       Waoteshaji bangi.
Hukumu ya kuruhusu matumizi ya bangi nchini Ujerumani imezungumziwa na VYOMBO  mbali mbali likiwemo GAZETI la Stuttgarter Nachrichten ambalo linasema hukumu hiyo iliyotolewa na mahakama ya Cologne ni kama pigo kubwa kwa Taassi ya Shirikisho inayoshughulikia Madawa na Vifaa vya Matibabu na kwa maana hiyo serikali ya Ujerumani.

Gazeti hilo linasema iwapo mgonjwa anaelekezwa kuendelea kutumia bangi kwa kuruhusiwa kuiotesha mwenyewe hapo tena suala linakuwa sio iwapo bali vipi na bora hivyo kwa maslahi ya wagonjwa walio taabani ambapo hakuna kengine kinachoweza kusaidia.