Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akifanya mazoezi leo katika viwanja vya Ikulu kufuatia ushauri wa
madaktari waliomtaka afanye hivyo mara tatu kwa siku ili kuendelea
kuimarisha afya yake baada ya kufanyiwa upasuaji mwezi uliopita katika
hospitali ya Johns Hopkins nchini Marekani.
JK APIGA TIZI MARA TATU KWA SIKU KUIMARISHA AFYA YAKE