DIAMOND NA DAVIDO NDANI YA BIFU TENA KISA NINI???? USIKOSE KUCHUNGULIA HAPA!

DAVIDO

Usiku wa December 07 Tanzania Ulichukua tena headline kwenye vyombo mbalimbali vya habari na hii ni baada ya Mtazania Idris kufanikiwa kushinda kwenye shindano la Big Brother Hot Shot 2014.
 
Mara baada ya Mshiriki wa Tanzania Katika Shindano la Big Brother Africa 2014 Idris Sultan kutangazwa mshindi, watanzania wengi walionekana kufurahishwa sana na Ushindi wake huku wengine wakimpongeza kupitia kurasa zao za Twitter …
 
Muda mfupi baadae Msanii Kutoka Nchini Nigeria Davido alionekana waziwazi kukerwa na Ushindi huu wa Mtanzania Idris na kuamua kutweet “N They Cheat Again lol”.
 
Tweet hii ilimfanya Msanii huyo wa Nigeria kushambuliwa kwa Maneno na watanzania wengi katika kurasa zao za twitter. 
Usiku huo huo baada ya ushindi wa Idris,Diamond   naye  aliibuka  kidedea  kwenye  tuzo  za The Future Awards Africa Prize in Entertainment 2014  zilizofanyika  Lagos  Nigeria usiku wa kuamkia leo  na  kuwatupilia mbali  wakali wengine wakiwemo Panshack au Ice Prince wa Nigeria na Michael Kwesi kutoka nchini Ghana.
 
Baada  ya  Ushindi  huo, Diamond  aliamua  kumjibu  Davido  kwa  kuandika  “Thanks God, we have cheated another one on the future Awards Africa in Lagos Nigeria…#Samenight Thank You Allah”
 
Ugomvi  huo  wa  maneno  haukuishia  hapo  tu, Jokate  Mwegelo  ambaye  ni  X-Girlfiriend  wa  Diamond  naye  alitoa  Onyo  kali  kwa  Davido  akimtaka  aombe  radhi  kwa  kauli  yake:
 
I think it’s wise that you give an apology. You don’t need Tanzanians hating you…”Aliandika Jokate