Showing posts with label michezo. Show all posts

REAL MADRID YATAJA MAJINA 3 YA WATU WATAKAOMRITHI RONALDO BERNABEU REAL MADRID YATAJA MAJINA 3 YA WATU WATAKAOMRITHI RONALDO BERNABEU

Real Madrid wamewaorodhesha wachezaji watatu wanaotarajiwa kuchukua mahala pake Cristiano Ronaldo 32 akiwemo mchezaji wa PSG Goncalo Gu...

BARCELONA YAANDAA PESA NDEFU KWA AJILI YA GRIEZMAN BARCELONA YAANDAA PESA NDEFU KWA AJILI YA GRIEZMAN

Barcelona iko tayari kumsajili mshambuliaji wa Atletico Madrid Antoinne Griezman kwa dau la £89m msimu ujao

MCHEZAJI MWINGINE KUTOKA BONGO ALA SHAVU SOUTH AFRICA. MCHEZAJI MWINGINE KUTOKA BONGO ALA SHAVU SOUTH AFRICA.

  Tumetoka kushuhudia mchezaji Singano akisaidi mkataba na Azam F.C na kuanza kulipwa mshahara wa Tsh millioni mbili kwa mwezi. Huyu hapa n...

MAYWEATHER APOKONYWA TAJI ALILOMSHINDA PACQUIAO MAYWEATHER APOKONYWA TAJI ALILOMSHINDA PACQUIAO

Bondia Bingwa wa dunia wa uzani wa Welter Floyd Mayweather amepokonywa ukanda alioutwaa baada ya kumchapa Mfilipino Manny Pacquiao mwezi M...

KOCHA STARS APIGWA KALAMU KOCHA STARS APIGWA KALAMU

Mkufunzi Mart Nooij amepigwa kalamu kama kocha wa timu ya taifa ya soka nchini Tanzania baada ya timu hiyo kushindwa 3-0 na Uganda nyumban...

BASI LA TAIFA STARS LASHAMBULIWA ,LABOMOLEWA VIOO BASI LA TAIFA STARS LASHAMBULIWA ,LABOMOLEWA VIOO

WATU wasiojulikana jana walilishambulia kwa mawe basi la timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars maeneo ya Kariakoo, Dar es Salaam...

MLINDA MLANGO WA  CHELSEA ATATUA HIVI KARIBUN NCHINI KUJIUNGA NA AZAM MLINDA MLANGO WA CHELSEA ATATUA HIVI KARIBUN NCHINI KUJIUNGA NA AZAM

KIPA wa zamani wa mabingwa wa England, Chelsea FC, Vincent Atchouailou de Paul Angban anatarajiwa kuwasili wiki ijayo kwa ajili ya kusain...

RECORD ZA ZIDI KUANDIKWA... HAT-TRICK NDANI YA DAKIKA 3 RECORD ZA ZIDI KUANDIKWA... HAT-TRICK NDANI YA DAKIKA 3

                                       Mshambuliaji wa Southampton na raia wa Senegal, Sadio Mane (kushoto) akifunga bao lake la kwanza da...