Home »
UDAKU
»
MAPENZI YAMEROGWA YA WEMA SEPETU IPO SASA MADUKANI

Kata kiu yako kwa kununua nakala halisi ya movie ya MAPENZI YAMEROGWA iko madukani kote Tanzania nzima….unataka kuona ubabe wa Mboto ulivyomtoa jasho wema sepetu??unataka kuona casting director
Aunty Ezekile alivyofanikisha kazi yake??basi usichoke kuangalia mirindimo ya Riyama na Faudhia walivyomtoa ndani Hemedy PHD bila kuaga baada ya kumfukuza mkewe fontana…..utakipenda kipondo alichopewa Fontana na Wema Sepetu akishirikiana na mumewe Treze ni balaaaa humo ndani……
Home