NJEMBA HUYU ANAINGIA MWEZINI KAMA MWANAMKE!!! SOMA STORI KAMILI HAPA

Mfanyabiashara mmoja huko Uk Amejikuta kipigwa na Butwaa Baada ya Madaktari kumwambia Kuwa haumwi Cancer Kama alivyokuwa Akifiria Baada ya kila Mara Kupata Haja kubwa na Mkojo zikiwa zimechanganyika na Damu, lakini kumbe ana kizazi na hizo damu anazoona zikitoka kwa njia

ya haja kubwa na mkojo ni pale anapokuwa katika Siku zake za Mwezini Ama Period , Madaktari wamemwambia kwa hali hiyo hata kushika mimba anaweza kama akitokea akitaka, Kwa sasa anajiandaa kwa upasuaji ili kuondoa kizazi hicho..