CHEKI HAYA NDIO MAISHA YA CHUONI, KAMA HAUJAENDA BASI NAWE FAIDIKA KUPITIA MTANDAO HUU

Wanafunzi wakijipiga picha Bafuni Hostel Kwakweli maisha ya chuoni ni experience tosha, kuna kila aina ya mambo mi naamini kama umepitia 
maisha ya chuo, umeshakaa hostel

basi utakuwa umejifunza mengi sana, na hakuna jipya baada ya hapo. Wapo watu wanaokuja chuoni wakiwa wapole na watiifu, lakini wape muda tu kidogo utaona mara tayari ana boyfriend mara tayari nae ameshaanza kwenda club. 
Mambo ni mengisana Vyuoni, kama mpenzi wako ameenda chuoni ujue kuna kazi hapo ndugu yangu muombee tu MUNGU amlinde, vishawishi ni vingi na kuepukika ni ngumu sana inahitaji ujasiri mno. YABIDI KUWA MAKINI TU