WANAUME WAWILI MBALONI KWA KUFUNGA NDOA YA JINSIA MOJA ......WAPI HUKO????? SOMA HAPA


Mahaba ya jinsi moja hayajapigwa marufuku nchini Misri,lakini watu wanaoshukiwa kuwa si 'rizki' huweza kukabiliwa na mashtaka ya mzaha katika dini na ufisadi.

Wanaume hao nane walitiwa korotini siku za karibuni kwa kukiuka maadili ya umma na hii ni baada ya video moja kuachiliwa ikionesha ndoa iliyofungwa ya wapenzi wa jinsi moja na kuanikwa katika mitandao ya kijamii.

Related Posts