Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 24 ambaye amemla kwa kumng'ata mtoto wake wa kumzaa kabisa,Tukio hilo lilemetokea china baada ya mama huyu nesi aliyekuwa akimzalishwa kung'atwa nanaye pale alipokuwa akijaribu kumsaidia kumtoa mtoto mtomboni kwake.Baada ya nesi kuona hali inakuwa mbaya alijitahidi kupigana na mama huyo ili kuweza kumwokoa mtoto aliyekuwa amejifungua muda mfupi uliyopita ili asiweze kumjeruhi mtoto huyo lakini ilishindikana kutokana na mama huyo kuwa na nguvu kama za simba na kufanikiwa kumng'ata mtoto wake wa kumza kiganjani na kumsababishia mavumivi makali.
Kwa mujibu ya repoti
kutoka hospitalini hapo mwanamke huyo alikutwa barabarani akilia kwa
kuomba msaada wa kupelekwa hospitalini baada ya kushikwa na uchungu
ambapo inasemakani alikua kichaa
Hospital hiyo imeviambia vyombo vya habari kuwa inafanya uchunguzi kwanini mama huyo alitaka kumla mtoto wake binafsi
Hospital hiyo imeviambia vyombo vya habari kuwa inafanya uchunguzi kwanini mama huyo alitaka kumla mtoto wake binafsi