DIAMOND AKWEA PIPA KUELEKEA WASHINGTON DC KUSHEREHEKEA UHURU DAY..

 Diamond akiwasili kwenye uwanja wa kimataifa wa Dulles muda huu tayari kwa makamuzi ya sharehe ya Uhuru itayofanyika muda si mrefu Sheraton, ya Downtown Silver Spring, Maryland.

 Diamond akimsalimia mwenyeji wake hayupo pichani mara tu alipowasili Dulles.