Huyu ndie Mpenzi Mpya Aliyeziba Pengo la Rihana kwa Drake Mtizame alivyo Mzuri.

Baada ya uhusiano kati ya YMCMB superstar msanii Drake na msichana anayejulikana kwa jina la Lira Galore ambaye ni model,wamekuwa wakitumia muda mwingi wakiwa pamoja huku wakiponda raha kaitika miji mbalimbali duniani,licha ya mashabiki wa Mrembo huyo Lira kuwa na wivu sana juu ya ukaribu wake na msanii Drake lakin ameonekana kuto jali kabisa na kuachia baadhi ya picha zake huko Instagrma nimekuletea baadhii hizi hapa..