Wakati Sitti Mtemvu akiwekwa kitimoto na Watanzania kwa kudanganya umri wake, Waganda nao katika mitandao ya kijamii wamecharuka na kuwakaba koo waandaaji wa Miss Uganda kuwa mshindi aliyepatikana Leah Kalanguka Miss Uganda 2014 ni mbaya na hakufaa kushinda taji hilo.
Kwa kumuangalia tu mrembo huyu, ni kweli hakustahili taji hilo?