Hi adimin, Sijui ni ugonjwa au ni tabia yangu? maana nimekuwa mtu wa kupiga chabo kwa kipindi kirefu Nimejaribu kuoa labda ntaacha lakini tatizo hili haliishi nifanye nini jamani? naombeni ushauri