Aunt Ezekiel:bado hajapatikana mwanaume wa kunipa mimba!!!

wakati rafiki yake Wema Sepetu akinasa mimba  ya Diamond ,Aunt Ezekiel yeye asimama na kusema bado hajampata mwanaume wa kumpa mimba hatimae kumuoa.......

Akisisitiza kwa kusema kwamba wakati mwingine unaweza kumuona akiwa kwenye mahusiano ya hapa na pale lakini haimaanishi kuwa ndo anataka kupata mimba na kuzaa "sio kwamba siwezi kupata mimba.... naweza lakini wa kunipa mimba  na kuiishi nae kama mme sijampata"

Related Posts