Maajabu: Mti Uliodondoka Miaka Mitatu Iliyopita Wainuka na Kusimama Wima Kama Zamani huko Tabora

Mwanamke Amchana Mwanaye kwa Wembe aweze kujisaidia…Mtoto huyo alizaliwa bila kuwa na sehemu ya haja kubwa

Origino Komedi wamwagwa na MENEJA wao

Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu yaahidi Kulipa Fedha za Mafunzo kwa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu
KUMENUKA ST.JOSEPH ARUSHA. MKONG'OTO WA TEMBEA!!!!!!!!

AKATWA KICHWA NA KAKA YAKE KISA MALI!!!!!!!!!! SOMA KISA KAMILI

MAULID KITENGE AACHA KAZI RADIO ONE NA KUJIUNGA NA EFM

HUU NDIO USHAHIDI WA UGONJWA WA EBOLA KUINGIA NCHINI TANZANIA HUU HAPA.

ASAMEHEWA ADHABU YA KIFO KWA KUBADILI DINI!!!!!!!!

HAYA MAAJABU .... KIJANA ANG'OLEWA MENO 232

WAALIM WAMPA NDIO MAKAMBA

WAUMINI 30 WA KANISA LA MORAVIAN WABURUZANA KORTINI KWA VURUGU

DCI: Mabomu Arusha siyo Al-Shabaab

Mauaji kinyama ya wanawake yatikisa

Mbaroni kwa tuhuma za kulawiti watoto wa familia moja

Warioba ataja sifa za rais 2015

Dk Slaa: Sitosahau siku nilipopigwa mabomu na Polisi

January Makamba, Zitto waungana urais

Serikali yatangaza nafasi za kazi 1,100
PAKA WATATU WATINGA OFISINI KWA KAMANDA WA POLISI KIKOSI CHA KUZUIA NA KUPAMBANA NA MADAWA YA KULEVYA!!!!

Paka watatu wenye macho mekundu walimshangaza Kamanda wa Polisi Kikosi cha Kuzuia na Kupambana na Madawa ya Kulevya Tanzania, SACP Godfre...
Maajabu: Mti Uliodondoka Miaka Mitatu Iliyopita Wainuka na Kusimama Wima Kama Zamani huko Tabora

Wananchi wa kijiji cha Mfuto katika Kata ya Ufulumo huko Wilayani Uyui, Tabora wamepatwa na mshituko na kuingiwa na hofu baada ya mti ain...
Mwanamke Amchana Mwanaye kwa Wembe aweze kujisaidia…Mtoto huyo alizaliwa bila kuwa na sehemu ya haja kubwa

Mkazi wa Kata ya Kitangiri katika Wilaya ya Ilemela jijini Mwanza, Anastazia Ngilitu, amemchana kwa wembe mtoto wake mwenye umri wa miezi mi...
Origino Komedi wamwagwa na MENEJA wao

KUNDI maarufu la vichekesho ambalo kwa sasa ni kama halipo, limepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa meneja wao, mtangazaji nyota wa zaman...
Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu yaahidi Kulipa Fedha za Mafunzo kwa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini (HESLB), imesema mwishoni mwa wiki hii, itakuwa imelipa fedha za mafunzo kwa ...
KUMENUKA ST.JOSEPH ARUSHA. MKONG'OTO WA TEMBEA!!!!!!!!
POLISI wametumia nguvu kuwatawanya wanafunzi Chuo Kikuu cha St. Joseph mjini hapa, waliofunga barabara ya kutokea Arusha kwenda Singinda...
AKATWA KICHWA NA KAKA YAKE KISA MALI!!!!!!!!!! SOMA KISA KAMILI

Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamng’ang’ania mfanyabiashara maarufu wa Wilaya ya Mvomero, Johnson Damian Mkude (39) akituhumiwa kumka...
MAULID KITENGE AACHA KAZI RADIO ONE NA KUJIUNGA NA EFM

Mtangazaji mkongwe wa michezo kwenye kituo cha redio cha Radio One Stereo, Maulid Kitenge ameacha kazi na kwenye kituo hicho na kujiunga n...
HUU NDIO USHAHIDI WA UGONJWA WA EBOLA KUINGIA NCHINI TANZANIA HUU HAPA.

Dar es Salaam. Hofu ya ugonjwa wa ebola imeingia jijini Dar es Salam baada ya msichana anayedhaniwa kuwa na ugonjwa huo kutua nchini akito...
ASAMEHEWA ADHABU YA KIFO KWA KUBADILI DINI!!!!!!!!

Mwanamama raia wa Sudan aliyesamehewa adhabu ya kifo baada ya kubadili dini amesafirishwa hadi nchini ...
HAYA MAAJABU .... KIJANA ANG'OLEWA MENO 232

Madaktari nchini India wametumia saa 7 kufanikisha upasuaji wa kinywa cha kijana Ashik Gavai mwen...
WAALIM WAMPA NDIO MAKAMBA

Dodoma. Moto wa uchaguzi mkuu umezidi kupamba baada ya mtandao wa walimu vijana nchini kujitokeza hadharani na kuahidi kumpigia kampen...
WAUMINI 30 WA KANISA LA MORAVIAN WABURUZANA KORTINI KWA VURUGU

Hii ni safari ya kwenda kusomewa mashitaka yao.
DCI: Mabomu Arusha siyo Al-Shabaab

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) wa Jeshi la Polisi nchini, Isaya Mngulu. Mk...
Mauaji kinyama ya wanawake yatikisa

kamanda wa police mkoa wa lindi, Renatha Mzinga Kundi la wananchi ...
Mbaroni kwa tuhuma za kulawiti watoto wa familia moja

kamanada wa police mkoa wa kilimanjaro, Robert Boaz jeshi la polisi mkoani...
Warioba ataja sifa za rais 2015

Dar es Salaam . Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba ametoa dira ya urais katika Uchaguzi Mkuu ujao kwa kutaja sifa za rais anay...
Dk Slaa: Sitosahau siku nilipopigwa mabomu na Polisi

Kushushwa juu ya fuso na mabomu kwenye kebini umebaki peke yako watu wote wamekimbia. Ndiyo wamekimbia...nimebaki na mlinzi wangu t...
January Makamba, Zitto waungana urais

Dar es Salaam . Uamuzi wa mwanasiasa kijana, January Makamba wa kutaka kuwania urais, umezidi kukoleza mijadala ya kisiasa katika mi...
Serikali yatangaza nafasi za kazi 1,100

Serikali kupitia Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imetangaza nafasi za kazi 1,134 katika sekta mbalimbali z...